Nenda kwa yaliyomo

Bob Willis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Robert George Dylan Willis ( 30 Mei 1949 – 4 Desemba 2019) alikuwa mchezaji wa kriketi kutoka Uingereza. Alizaliwa Sunderland, Durham. Alichezea Surrey, Warwickshire, na Uingereza. Alichukua wickets 325 katika Test.[1][2]

  1. ↑ Playfair Cricket Annual. Queen Anne Press. 1985. uk. 228. ISBN 0-356-10741-8.
  2. ↑ "Bob Willis: The Fragile, Wholehearted Speedster – Wisden Almanack". Wisden (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2019-05-30. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-01-18. Iliwekwa mnamo 2022-01-18.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bob Willis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.