Chad Campbel
Mandhari
David Chad Campbell (alizaliwa 31 Mei 1974) ni mchezaji wa gofu wa kulipwa nchini Marekani. Alizaliwa Andrews, Texas. Alishinda mataji 4 ya PGA Tour. Alikuwa mwanachama wa timu ya Ryder Cup ya Marekani mwaka 2004 na 2006, na alishiriki katika Presidents Cup mwaka 2005 na 2007.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Midland College Athletics: All-American Athletes Archived Januari 31, 2009, at the Wayback Machine
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chad Campbel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |