Nenda kwa yaliyomo

Matheus Nunes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Matheus Nunes

Matheus Luiz Nunes (aliyezaliwa 27 Agosti 1998) ni mwanasoka wa kulipwa anayecheza katika nafasi ya beki wa kulia au kiungo katika klabu ya Manchester City inayoshiriki Premier League, pamoja na timu ya taifa ya Ureno. Awali alikuwa akicheza kama kiungo, lakini alibadilishwa na kuanza kucheza kama beki wa kulia katika msimu wa 2024–25.

Nunes alianza maisha yake ya soka katika klabu ya Ericeirense, kabla ya kuhamia Estoril, iliyokuwa ikishiriki LigaPro.

Mafanikio

[hariri | hariri chanzo]

Sporting CP

[hariri | hariri chanzo]
  • Primeira Liga: 2020–21
  • Taça da Liga: 2020–21, 2021–22
  • Supertaça Cândido de Oliveira: 2021

Manchester City

[hariri | hariri chanzo]
  • Premier League: 2023–24
  • FA Cup: 2025–26
  • EFL Cup: 2025–26
  • FA Community Shield: 2024
  • FIFA Club World Cup: 2023 [1][2]
  1. ↑ https://www.premierleague.com/en/players/465351/matheus-nunes/overview
  2. ↑ https://web.archive.org/web/20210522171651/https://www.foradejogo.net/player.php?player=199808270004&language=2
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matheus Nunes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.