Piazza
| Wilson Piazza | |
| Amezaliwa | 25 Februari 1943 Ribeirao das Neves, Brazil |
|---|---|
| Nchi | Brazil |
| Urefu | 1.75 m |
Wilson da Silva Piazza (alizaliwa 25 Februari 1943 mjini Ribeirao das Neves)[1] ni aliyekuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Brazil. Alicheza kama kiungo mkabaji au beki wa kati, hasa akiwa na klabu ya Cruzeiro E.C. na timu ya taifa ya Brazil. Alikuwa mchezaji wa timu ya Brazil iliyoshinda kombe la Dunia la FIFA la mwaka 1970.[2] Pia alikuwa mchezaji wa timu ya Cruzeiro iliyoshinda Copa Libertadores mnamo mwaka 1976.[3]
Kazi ya Kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Piazza alicheza mechi 51 akiwa na timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Brazil kati ya mwaka 1967 na 1975.[1] Alicheza kwa ajili ya nchi yake katika mashindano ya kombe la Dunia mnamo mwaka 1970 na 1974, akicheza katika mechi sita mnamo 1970, ikiwa ni pamoja na ushindi wa mabao 4–1 katika mechi ya fainali dhidi ya Italia.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- 1 2 "Wilson Piazza" (kwa English). National Football Teams. Iliwekwa mnamo 25 Septemba 2026.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ Gwidon Naskrent, Roberto Di Maggio and José Luis Pierrend (17 Septemba 2010). "World Cup Champions Squads 1930 - 2010" (kwa English). RSSSF. Iliwekwa mnamo 25 Septemba 2026.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Copa Libertadores 1976" (kwa English). RSSSF. Iliwekwa mnamo 25 Septemba 2026.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Wilson Piazza" (kwa English). FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 Mei 2008. Iliwekwa mnamo 25 Septemba 2026.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Piazza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |