Nenda kwa yaliyomo

Santiago Solari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Santiago Hernán Solari Poggio (alizaliwa 14 Machi 1976) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu na meneja kutoka Argentina. Alizaliwa Rosario, Argentina. Alicheza kama kiungo na aliwakilisha Argentina mara 11. Alichezea klabu za River Plate, Atlético Madrid, Real Madrid, na Inter Milan. Baada ya kustaafu, alikua meneja wa Real Madrid na Club América.[1]

  1. ↑ "FIFA Club World Cup UAE 2009 presented by Toyota: List of Players" (PDF). FIFA. 9 Desemba 2009. uk. 2. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2 Septemba 2012. Iliwekwa mnamo 24 Desemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Santiago Solari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.