Dario Amodei
Mandhari
Dario Amodei (Alizaliwa 1983) ni mtafiti wa akili bandia (AI) na mjasiriamali nchini Marekani. Mwaka 2021, pamoja na dada yake Daniela, alianzisha Anthropic, kampuni iliyotengeneza mfululizo wa lugha kubwa wa Claude (model).[1] Kabla ya hapo, alikuwa makamu wa rais wa utafiti katika OpenAI.[2] Mwaka 2025, Time ilimtaja kuwa mmoja wa watu 100 wenye ushawishi mkubwa duniani.[3] Mnamo Februari 2026, Forbes ilikadiria utajiri wake kuwa dola bilioni 7.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Perrigo, Billy (May 30, 2024). "Inside Anthropic, the AI Company Betting That Safety Can Be a Winning Strategy". Time.
- ↑ Roose, Kevin (July 11, 2023). "Inside the White-Hot Center of A.I. Doomerism". New York Times.
- ↑ Kutcher, Ashton (April 16, 2025). "Dario Amodei: The 100 Most Influential People of 2025". TIME.
- ↑ Nieva, Richard. "Despite Digs From Musk And Altman, Anthropic's Billionaire Founders Double Their Fortunes". Forbes.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dario Amodei kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |